
Masa, Songa Mbele
Edgar Lusuva
Créée avec HeartMuLa
Créez une chanson comme celle-ci
Transformez un prénom, un souvenir ou vos propres paroles en chanson en quelques minutes.
Prompt
[Intro – Spoken Male Voice] Edgar Nation! Yeah yeah! Kutoka Ubaruku mpakani! Hii ni zawadi maalumu kwa Binti mwenye juhudi. Masa! Sikiliza dada! The future is your! [Verse 1] Leo ni siku ya furaha, hongera kwa safari, Jasho lako limeongea, umefika hatua nyingine. Kutoka Mbalari Day, umebeba matumaini, Kila ukurasa uliosoma, ni ngazi ya maisha yako. Ubaruku mpakani, ndoto zako ziwe mbali, Usiogope changamoto, usikubali kukata tamaa. Elimu ni ufunguo, inafungua milango, Leo umehitimu, kesho bado kuna mengi mbele yako. [Pre-Chorus] Masa, tuliza kichwa chako, Usikimbilie maisha, kila kitu kina wakati. Masa, shikilia malengo, Usikubali vishawishi vikubadilishe njia! [Chorus – Big Powerful Melody] Masa! Usikate tamaa! Masa! Ndoto zako zitimie! Soma, soma, songa mbele, Elimu yako iwe mwanga wa maisha! Masa! Usikate tamaa! Keep on going, never give up! Leo umehitimu, kesho ni ushindi, Edgar Nation anakuimbia, songa mbele binti! [Verse 2] Mama Solina Kapunga, alitamani ufaulu, Akiwa na matumaini, akuone uking'ara. Baba Tulizo Nkavila, alikufundisha kwa juhudi, Alikulea kwa bidii, shule iwe kipaumbele. Kila hatua uliyopiga, wazazi wameiona, Kila changamoto uliyopitia, imekuimarisha. Usisahau ulipotoka, usidharau ulipofika, Mafanikio ni safari, bado una nafasi kubwa! [Pre-Chorus 2] Masa, tuliza kichwa chako, Usikimbilie maisha, kila kitu kina wakati. Masa, shikilia malengo, Usikubali vishawishi vikubadilishe njia! [Chorus – Stronger Beat] Masa! Usikate tamaa! Masa! Ndoto zako zitimie! Soma, soma, songa mbele, Elimu yako iwe mwanga wa maisha! Masa! Usikate tamaa! Keep on going, never give up! Leo umehitimu, kesho ni ushindi, Edgar Nation anakuimbia, songa mbele binti! [Verse 3] Bibi Mwajuma Sinande, alikupa moyo wa kusoma, Akakushauri kwa hekima, uachane na tamaa. Marafiki wa mitaani, si wote wana nia njema, Chagua njia yenye maana, usipoteze muda wako. Usishawishike na starehe, zikakutoa kwenye njia, Usibadilishe ndoto zako kwa raha za muda mfupi. Heshimu wazazi wako, heshimu walimu wako, Jifunze kila siku, kesho uwe mfano bora. [Verse 4 – More Energy] Mama Solina Kapunga, tabasamu lake ni baraka, Baba Tulizo Nkavila, juhudi zake ni kumbukumbu. Bibi Mwajuma Sinande, ushauri wake ni hazina, Wote wana matumaini, waone ukipaa juu! Masa Tulizo Nkavila, jina lako lisimame, Kwa maarifa na maadili, dunia ikutambue. Masa, usiwe na haraka, lakini usisimame, Kila siku hatua moja, mpaka ufike kileleni! [Bridge – Emotional Male Voice] Nilikuimbia kwa moyo, si kwa ajili ya sifa, Nataka uone thamani, ya elimu uliyoipata. Kuna milango mingi, bado inakusubiri, Usiache kujifunza, maisha yanafundisha. When life gets harder, don't lose your way, Believe in yourself, make a better day. Uwe na nidhamu, uwe na malengo, Kumbuka Masa, kesho yako mikononi mwako! [Final Chorus – Explosive Beat] Masa! Usikate tamaa! Masa! Ndoto zako zitimie! Soma, soma, songa mbele,