
Mawazo Yamenijaa Hapa
Conya Boy
0 me gusta3:346 mar 2026
Prompt
Hello my love nimekukumbuka kitambo sana nime kumisi ile mbaya ayee ayee yani siko sawaa mimi apa nime vulugwaa mimi apa naleewa bia tu napigana na watu sababu yakooh Hata nikizima taa naiona taswila yaako hata nikinyamazaa naisikia sauti yako sijui kwa nini unakataa nikiongea nawe kwa simu niki ya tazama mashukaa zina nipandaga stimu stimu ayeeeh me ya meniijaa hapa ya meniijaa hapa ya me nijaa hapa ooh mawazooh ya me nijaa hapa ya me nijaa hapa ya me nijaa hapa oooh mawazoooh