
Familia ya Mang'ombe
PharesKavana ITEKUL C.E.O
由 HeartMuLa 創作
也為自己做一首這樣的歌
把一個名字、一段回憶或你寫的歌詞,幾分鐘變成一首歌。
提示詞
[inspired by lady isa song 'Dunia lukumbalukuba [INTRO – SPOKEN MALE VOICE] Watoto wangu... Familia ya Mang’ombe... Sikilizeni Mimi Dr Hosea Mamg'ombe Nawa omba sana Pendaneni. Wazee wetu walituachia mfano wa umoja. Waliishi kama kitu kimoja. Sisi tulio hai leo, tuendeleze upendo wao. Tusigombane njiani... Tupendane. [VERSE 1 – MALE LEAD] Mungu ni pendo, atupenda, Familia ya Mang’ombe, tupendane. Wazee wetu waliishi pamoja, Kama kitu kimoja, kwa upendo. Tuishi kwa furaha na amani, Tudumishe upendo mioyoni. Tutakuwa tunaenzi wazee wetu, Kwa umoja wetu, tutawakumbuka. Kila mmoja awe mvumilivu, Kwa mwenzake katika maisha. Tusikilazane, tusameheane, Familia yetu isivunjike. [PRE-CHORUS – FEMALE LEAD] Amani, amani, yoyoo! Upendo, upendo, yoyoo! [CHOIR RESPONSE – SATB] Amani, amani, yoyoo! Upendo, upendo, yoyoo! [CHORUS – FULL CHOIR] Tupendane, tupendane, Familia ya Mang’ombe tupendane. Tusibaguane, tusigombane, Safari ya maisha tushikamane. Amani, amani, yoyoo! Upendo, upendo, yoyoo! Tushikamane, tushikamane, Familia ya Mang’ombe tuungane! [VERSE 2 – MALE LEAD] Mungu tusaidie, sisi pekee hatuwezi, Nguvu zetu hazitoshi bila wewe. Tufundishe kupendana, Tujalie moyo wa kusameheana. Ee Mungu, tunakushukuru, Kwa kutupatia kiongozi bora. Atakayesimamia ukoo wetu, Na kutuongoza katika umoja. [LINGALA CHANT – REPEATED CALL AND RESPONSE] Nzambe, sunga biso! Nzambe, sunga biso! Tolingani, tolingani! Famille Mang'ombe, tolingani! Nzambe, pesa biso kimia! Nzambe, pesa biso bolingo! [CHOIR – REPEAT] Nzambe, sunga biso! Tolingani, tolingani! Famille Mang'ombe, tolingani! [VERSE 3 – FEMALE LEAD, EMOTIONAL] Hata tukiachwa na wapendwa wetu, Tushukuru kwa hilo pia. Ingawa mioyo yetu inaumia, Tunaamini tutakutana tena. Tutawaona huko juu, Siku yetu ikifika. Hadi wakati huo ufike, Tuishi kwa upendo duniani. Tulipitishwa katika magumu, Hata Ayubu alipitia majaribu. Lakini hakumwacha Mungu wake, Aliendelea kuwa mwaminifu. Hata sisi yakitupata haya, Hatuna budi kusema asante. Maana kazi ya Mola haina mapungufu, Yeye ndiye ajuaye yote. [CHORUS – FULL CHOIR] Tupendane, tupendane, Familia ya Mang’ombe tupendane. Tusibaguane, tusigombane, Safari ya maisha tushikamane. Amani, amani, yoyoo! Upendo, upendo, yoyoo! Tushikamane, tushikamane, Familia ya Mang’ombe tuungane! [BRIDGE – FATHER'S MESSAGE | SPOKEN AND SUNG] Watoto wangu... Johnson Hosea! [JOHNSON – RESPONSE] Nipo baba! [BABA] Wewe ni kaka mkubwa, Tunza wadogo zako. Uwe mfano wa upendo, Uwe daraja la familia. Jonas, Junior na Jean, Pamoja na dada yenu Rehema, Hawa ni ndugu zako, Wapende na uwalinde. [CHOIR – SOFT RESPONSE] Johnson, tunza wadogo zako... Familia yenu mshikamane... [BABA – SPOKEN] Jonas, Junior, Jean na Rehema... Ninyi nyote ni ndugu. Msigombane njiani. Maneno ya Yusuph, Yabaki kuwa mwanga wenu. Mkiwa na tofauti, Zungumzeni kwa upendo. Mmoja akikwama, Mwenzake amnyanyue. [VERSE 4 – MALE LEAD] Mshikeni sana elimu, Maana ndiyo uzima wenu. Kama Baba alivyowahusia,