
Maaapenzi
Evance Claudi
HeartMuLa로 제작
이런 노래, 나도 만들어 보기
이름, 추억, 직접 쓴 가사를 몇 분 만에 노래로 만들어 보세요.
프롬프트
Onananaaah Naimba tena mapenziih Ona kama mapenzi yangekua nguo Ningeshatoa nibaki mtupu Kama mapenzi ni jalibio me Nachana nifeli mtihani Unaemwita mpenzi anampenzi Na tena hakupendi mapenzi Si yakuforce. Akikuita mpenzi una enjoy na Tena una forget akumalizie Vichenji. Onanananah Maaapenzi Wameumbiwa wachache kweli Shida vichenchi kwani mapenzi ni utapeli. Hakuna cha namba7 wala namba1 . Am born to fight Am not a lover fighter Niliumbwa kupambana Ongeza beer waiter Me so mnyama Najua nachofanya Nachotaka napata Ila mapenzi ndo nakosa Maaapenzi Wameumbiwa wachache kweli Shida vichenchi kwani mapenzi ni utapeli. Hakuna cha namba7 wala namba1 Nilimpa roho yangu Ye akaiweka kando Sasa nakunywa pombe ili nisahau bando. Unaniita mnyama Sawa mimi mnyama Lakini pia mnyama anaumia. Mapenzi ya siku hizi Ni kama mechi. Unampenda leo kesho unawekwa benchi. Wanachojua wao Ni chenga za messi Hatulii na mpira mbaka amalize mechi